Habari za Punde

Spika BLW aagana na Balozi wa Cuba nchini

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid, leo hii amezungumza na Balozi wa Cuba hapa nchini Bw. Jorge Luis Lopez aliyefika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini. 

Mazungumzo hayo yalijikita katika Misaada mbali mbali inayotolewa na Cuba hapa Zanzibar hasa katika sekta ya afya pamoja na kuangalia uwezekano wa kutanua wigo kati ya Baraza la Wawakilishi na Bunge la nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.