Habari za Punde

Wasaidizi wa Sheria wa MajimboPemba wafundwa katika Semina

 Ofisa wa Kituo cha huduma za Sheria Pemba, Siti Habibu Moh'd, akitowa ufafanuzi  juu ya Sheria ya kuwalinda Wari na Watoto wa mzazi mmoja namba 4 /2005 , kwa wasaidizi wa Sheria Pemba, huko katika ukumbi wa kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi.
 Wasaidizi wa Sheria wa Majimbo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakisikiliza kwa makini Ofisa kutoka Kituo cha huduma za Sheria Pemba, Siti Habibu, akitowa ufafanuzi wa Sheria mbali mbali -Pemba.
  Wasaidizi wa Sheria wa Majimbo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakisikiliza kwa makini Ofisa kutoka Kituo cha huduma za Sheria Pemba, Siti Habibu, akitowa ufafanuzi wa Sheria mbali mbali -Pemba.
 Waandishi wa habari Kisiwani Pemba, Haji Nassor wa Gazeti la Zanzibar leo na Moh'd Khalfan Ali wa Habari Maelezo Pemba, wakimfanyia mahojiano Ofisa Mipango wa Kituo cha huduma za Sheria Pemba, Safia Saleh Sultana, juu ya mipango yao ya kutowa Elimu ya Sheria mbali mbali kwa Wasaidizi wa Sheria Kisiwani Pemba.

Mwanasheria kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Pemba,  Ali Bilal Hassan, aitowa ufafanuzi juu ya mamlaka ya Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka katika Uendeshaji wa kesi za Jinai .

Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.