Habari za Punde

CCM yazindua kampeni zake jimbo la Dimani

 Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).
  Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, uliofanyika leo. (Picha na Bashir Nkoromo)
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenez, Humphrey Polepole, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani, Zanzibar leo.(Picha na Bashir Nkoromo).

 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu, Ngemela Lubinga, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM ( Zanzibar) Vuai Ali Vuai akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd akihutubia wananchi  katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.