Habari za Punde

Mpango wa kunusuru kaya masikini shehia ya Mtangani

 MLENGWA wa Kaya masikini katika shehia ya Mtangani, akiwapeleka mbuzi malishoni mbuzi ambao wamenunua baada ya kukusanya fedha zao wanazolipwa na Tasaf Pemba, katika mpango wa kunusuru kaya masikini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MRATIB wa Tasaf Pemba Mussa Saidi, akimsaidia mlengwa wa kaya masikini shehia ya Mtangani, kuchukuwa mbuzi baada ya mbuzi hao kuanza kumpinza mlengwa huyo, wakati akiwarudisha kibandani baada kutoka nao malishoni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MRATIB wa Tasaf Pemba Mussa Said, akifunga mbuzi katika kipanda chao baada ya mbuzi hao kurudi malishoni, mbuzi hao wanaomilikiwa na walengwa wa mpango wa kunusuru kaya Masikini shehia ya Mtangani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MBUZI wa Walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini shehia ya Mtangani uliochini ya Tasaf Pemba, wakiwa katika kibanda chao baada ya kurudi katika malisho ya siku nzima.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.