Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akijibu maswali yaliyoulizwa na Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa ziara ya kikazi
iliyofanyika leo jijini Mbeya.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kanali
Mstaafu Masoud Ally
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama, Kapteni Mstaafu Goerge Mkuchika, akizungumza wakati wa
kipindi cha kuuliza maswali yaliyoelekezwa kwa Idara zilizopo ndani ya Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kamati hiyo imekutana jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama, Juliana Shonza (katikati) akizungumza wakati wa kipindi
cha kuuliza maswali yaliyoelekezwa kwa Idara zilizopo ndani ya Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi .Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo.Kamati hiyo ya Bunge iko jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Rehema Madusa
akizungumza wakati wa mkutano na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama,iliyokutana jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji mkoa wa Mbeya, Kamishna
Msaidizi , Asumsio Achachaa, akijibu maswali yaliyoelekezwa kwenye Idara yake
na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama(hawapo
pichani), wakati wa mkutano na kamati hiyo iliyokutana Jijini Mbeya kwa ziara
ya kikazi
Mkuu wa Jeshi la Magereza mkoa wa Mbeya, Kamishna
Msaidizi(ACP) Paul Kajida, akijibu
maswali yaliyoelekezwa kwenye Idara yake na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama(hawapo pichani), wakati wa mkutano na kamati hiyo iliyokutana Jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
(Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment