Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dkt.Magufuli Akutana na Rais Mstaaf wa Tanzania Benjamin Mkapa na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa alipofika kwa mazungumzo na Rais Magufuli leo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza  Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya maongezi yao  ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman na ujumbe wake pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman na ujumbe wake pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman wakiwa pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017
Picha na Ikulu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.