Habari za Punde

Wabunge wa Makuwi Wabadilishana Uzoefu na Wawakilishi wa Baraza la Wawakilishi Wanawake Zanzibar.

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma akizungumza na Wajumbe wa Bunge la Makuwi Courtry Assembly Kenya walipofika kutembelea Ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar kubadilishana uzoefu wa kazi za kibunge wakiwa katika ziara Zanzibar.
 Spika wa Bunge la Mukuwi Country Assembly Kenya Mhe Stephen Mutunga Nselu akizumgumza wakati wa mkutano wa kubadilishana uzoefu na Wawakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar walipofanya ziara ya kirafiki ya kubadilishana taaluma ya Kibunge kwa pande hizo mbili.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.