Habari za Punde

Wajasiriamali wa Kilimo cha Mbogamboga Pemba.

Wajasiriamali wa kilimo cha mbogambago kisiwani Pemba kimewakomboa wakulima wengi kwa mafanikio yake na kujiongezea kipato chao kupitia kilimo hicho kama inavyoonekana moja ya shamba la mbogomboga aina ya nyanya chungu zikiwa zimestawi na kunawiri katika shamba la kikundi cha jambo group kilichoko Wambaa  wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.