Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa
wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando wakati
akiwasili ofisi ya mkoa huo kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kuona
changamoto za masuala ya ulinzi na
usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa serikali mkoani hapo
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu
wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando (kushoto), akitoa taarifa ya Mkoa kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo mkoani hapo ikiwa na lengo
la kuona changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi.
Katibu Tawala Mkoa wa Katavi, Paul Chagonja
akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani)
wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo
mkoani hapo yenye lengo la kuona
changamoto za masuala ya ulinzi na
usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Lilian
Matinga
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wakwanza kulia), akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Mkoa
wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando, wakati wa
ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo
mkoani hapo kwa lengo la kuona
changamoto za masuala ya ulinzi na
usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa mkoa huo kutoka kada
mbalimbali
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu
kulia),akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia
ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando,(wapili kulia). Naibu Waziri
alifika mkoani hapo kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za
masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi. Wengine ni viongozi wa
mkoa huo kutoka kada mbalimbali (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment