Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya TTCL Yazindua Teknolojia ya 4G LTE ya TTCL

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi  na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kuelekea kwenye eneo la uzinduzi wa Tekinolojia ya 4G LTE ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 10, 2017. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Spika wa Bunge Job Ndugai (wapili kushoto) na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa   tekinolojia ya  4G LTE  ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 10, 2017. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi  Edwin Ngonyani, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Zhang Yongquan na kulia ni Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Spika wa Bunge Job Ndugai (wapili kushoto) na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa   Mttekinolojia ya 4G LTE  ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 10, 2017. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi  Edwin Ngonyani na kulia ni Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai wakizungumza  kwa simu  ikiwa ni uzinduzi wa tekinolojia ya  4G LTE a Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwenye  viwanja vya Bunge mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua tekinolojia  ya  4G LTE ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua tekinolojia  ya  4G LTE ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na Spika wa Bunge, Job Ndugai baada ya kuzindua tekinolojia 4G LTE  ya Kampuni ya Simu Tanzania  (TTCL) kwenye viwanja vya Bunge Februari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.