Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wa sita kulia) akishiriki kuswalia jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC, Mwalimu Ali Mbaga wakati wa mazishi yaliyofanyika leo Feb 8, 2017, katika kijiji cha Kighare, Usangi wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, leo. Mbaga ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM, waliofariki kwa ajali ya gari wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM katika mkoa huo.(Picha na Bashir Nkoromo)
TCAA : Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Atembelea Maonesho ya Nanenane 2025 Jijini
Dodoma
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim
Msangi, atembelea banda la TCAA pamoja na mabanda mengine kadhaa katika
Maonesho...
55 minutes ago
No comments:
Post a Comment