Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwasili katika viwanja vya Jengo la Baraza Mhe Issa Haji Gavu na Mhe Hassan Khamis Hafidh, kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Unaoaza leo kwa kuwasilishwa Miswada wa Sheria na kujadiliwa na Wajumbe wa Baraza Zanzibar leo.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakichangia Mswada wa Sheria ya Tume ya Uchanguzi wakichangia baada ya kuwasalishwa.
Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Zanzibar Mhe Machano Othman akichangia Mswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Dimani Zanzibar Mhe Dk. Mwinyihaji Makame akichangia mswada huo .
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakijadilia jambo wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi wakati wa mjadala wa michango kuchangia Mswada wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbe Ali Khamis Bakar, wakisoma taarifa ya Tume ya Uchaguzi wakati wa mkutano wa Baraza kuchangia Mswada wa Sheria wa Tume Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakipitia Mswada wa Sheria wa Tume ya Uchaguzi wakati wa kuchangia Mswada huo baada ya kuwakilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed kwa wajumbe wa Baraza.
Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Shehe Hamad Mattar Mwakilishi wa Jimbo la Mgogono Pemba, akitoka katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza baada ya kuahirisha kwa mapumziko ya mchana baada ya kuchangia Mswada wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana kulia Mwakilishi wa Jimbo la Kijitoupele Ali Suleiman Ali Shihata na Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe Abdallah Maulid Diwani.
Waziri wa Kazi Vijana Wazee Uwezashaji Wanawake na Watoto Mhe Maudline Castiko akimzikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe Mohammed Raza, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa baraza baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana.
Waziri wa Kazi Vijana Wazee Uwezashaji Wanawake na Watoto Mhe Maudline Castiko akimzikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe Mohammed Raza, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa baraza baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud
Mohammed akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Konde Omar Seif Abeid, akizungumza
wakati mapumziko ya kuahirishwa kwa Kikao cha asubuhi kwa mapumziko baada ya kuchangia
Mswada wa Sheria ta Tume ya Uchaguzi Zanzibar kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu
wa Pili wa Rais Joseph Meza na Naibu Waziri wa Ofisi hiyo Mhe Mihayo Juma
No comments:
Post a Comment