Habari za Punde

Mabalozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali (pichani) Rais akipeana mkono na Mhe,Balozi Emmanuel  John Nchimbi atakayekwenda nchini Brazil
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na   Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani.
 [Picha na Ikulu,] 10/02/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.