Habari za Punde

Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo Wawafanyia Uchunguzi Watoto Wanaosumbuliwa na Maradhi Hayo Zanzibar.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe akimsikiliza Daktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo kutoka Shirika la Save A Child Heart Israel, wakati wa zoezi hilo la kuwafanyia uchunguzi watoto wanaosumbuliwa na maradhi hayo Zanzibar zoezi hilo lanafanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.