Habari za Punde

Matukio Hapa na Pale Mitaani Zenj.

Mafundi wa Kampuni inoyoshughulikia Mradi wa uwekaji wa Taa za Solar katika barabara za Mji wa Zanzibar wakiwa katika zoezi hilo.
 Askali wa Usalama barabarani Zanzibar akisimamisha magari ili kutowa fursa kwa Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi Saateni ili kuweza kuvuka barabara kwa usalama wakati wa kwenda skuli, barabara hiyo kwenda bububu inakuwa na magari mengi yanayotumia njia hiyo wakati wote.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.