Habari za Punde

Taarifa ya Mazishi ya Ndugu Yetu Abdallah Khelef Shauri (DULLA) Nchini Norway Siku ya Jumatatu tarehe 27-2-2017

Taarifa ya mazishi ya Ndugu yetu Abdallah Khelef Shauri (DULLA) yatakayofanyika Nchini Norway na kuzikwa katika Makaburi ya Kiislamu Skonger Drammen tarehe 27-2-2017
Jumatatu saa 6 mchana.(12 CET) 

Mwili wa marehemu utaoshwa katika hospitali ya Drammen saa 1 asubuhi na watu watauona katika muda wa saa mbili asubuhi (8:00 CET) Na kusaliwa kwa ajili ya mazishi katika makaburi ya kiislamu Ndugu Jamaa na Marafiki wote mnaarifiwa kushiriki katika msiba huo kwa ajili ya mazishi kumstiri muislamu mwenzetu. 



Innaa lillaahi Wainna ilayhi Raajiun.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.