Habari za Punde

Unaposafiri kwa ndege angalia unachokibeba kwenye begi la mkononi kama kinaruhusiwa

KUMEKUWA na tabia kwa baadhi ya wasafiri wanaopanda ndege kutoka Pemba-Unguja-Dar-Tanga, kuondoka na vitu visivyotakiwa, pichani vitu mbali mbali ambavyo vimezuiliwa katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba, ambavyo havifai kuingia navyo  ndani ya Ndege.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.