Habari za Punde

Uongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Wafanya Ziara Kutembelea Jimbo la Tunguu Zanzibar Kutembelea Maendeleo ya Chama Jimboni Humo.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akishiriki katika zoezi la ujenzi wa Taifa wa katika ujenzi wa Maskani ya Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni kuimarisha Chama kwa ngazi za Matawi kusherehekea miaka 40 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi. Katika kuadhimisha miaka 40 ya CCM Uongozi wa CCM Mkoa wa Kusini umefanya ziara kutembelea Jimbo la Tunguu kujionea m,aendeleo ya kuimarisha Chama katika ngazi za Matawi kwa kuimarisha matawi yake. 













No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.