Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Aendelea na Ziara yake Azungumza na Watumishi na Kuhutubia Mkutano wa Hadhara Mjini Babati.

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Babati wakati alipowasili kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati kuhutubia mkutano wa hadhara, Februari 22, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee  wakati alipoingia kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,  kuhutubia mkutano wa hadhara 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee  wakati alipoingia kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,  kuhutubia mkutano wa hadhara 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati  kuhitimisha  ziara ya mkoa wa Manyara
Baadhi ya wananchi wa Babati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati  alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati
Baadhi ya  watumishi wa serikali na Halmashauri za mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, 
Baadhi ya  watumishi wa serikali na Halmashauri za mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Februari 22, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.