Habari za Punde

Katibu wa NEC ya CCM-SUKI, Kanali Mstaafu Lubinga Azuru Uhuru FM Leo.

Leo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga amezuru kituo cha Radio cha CCM, Uhuru FM, mtaa wa Lukoma, jijini Dar es Salaam, na kuzungumza na uongozi baada ya kuona baadhi ya shughuli zinavyofanyika kwenye kituo hicho. Pichani Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpatia maelezo. Na ziafuatazo ni picha mbalimbali Ngemela akiwa kwenye kituo hicho cha Radio. Picha zote kwa hisani ya Uhuru FM

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.