Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amtembelea Mzee Malecela Nyumbani Kwake Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Mzee John Malecela wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma Februari 1, 2017. 
Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mzee Malecela akizungumza na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa alipofika nyumbani kwa Mzee Malecela kumtembelea na kumjulia hai leo  mjini Dodomo nyumbani kwake kilimani.
 Mzee Malecela akifurahia jambo na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa alipofika nyumbani kwake kilimani mjini dodoma kumtembelea leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiagana na Mzee John Malecela baada ya mazungumzo na kumjulia hali nyumbani kwake kilimani Dodoma leo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.