Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Hadhara Mjini Kiteto Akiwa katika Ziara Yake.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye  uwanja wa michezo wa Kiteto  akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia  mkutano wa  hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka Mzee Mbambire Oloi Kurukur, jani la mti ikiwa ni ishara ya amani ya kukomesha mapigano kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa  Kiteto, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka kwa  Katibu wa Baraza la Amani la  Kiteto,  Salum Mambo, jembe la asili  ikiwa ni ishara ya kukoma kwa mauaji kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto katika mkutano wa hadhara aliouhutubi kweye uwanja wa michezo wa Kiteto, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.