Mrajis wa Mahakama jimbo la Pemba, Hussein Makame Hussein, akifunguwa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakusanyaji takwimu za makosa ya jinai Pemba, huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya madungu Pemba.
Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya ukusanyaji takwimu za makosa ya jinai Pemba, wakimskiliza kwa makini mrajis wa mahakama Pemba, Hussein Makame Hussein, akisunguwa mafunzo hayo huko katika skuli ya Sekondari ya Madungu Pemba.
Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya ukusanyaji takwimu za makosa ya jinai Pemba, wakimskiliza kwa makini mrajis wa mahakama Pemba, Hussein Makame Hussein, akisunguwa mafunzo hayo huko katika skuli ya Sekondari
ya Madungu Pemba.(Picha na Bakar Mussa -Pemba,)
No comments:
Post a Comment