Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Bububu wakipata elimu ya habari kupitia vicha vya habari vya magazeti mbalimbali kujua matukio yaliotokea nje ya Zanzibar. Magazeti ni moja ya njia ya kujifunza na kupata elimu kupitia humo.kama walivyokutwa wanafunzi hawa na picha yetu wakiwa bizz kufuatilia vichwa vya habari ya magazeti hayo.
Wanafunzi wa Skuli ya maandalizi wakijiandaa kupanda gari baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani baada ya masomo yao.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Bububu wakiwa katika kituo cha daladala wakisubiri usafiri wa kurudi nyumbani na kupata shida kwa kukataliwa na utingo wa daladala kupanda. kwa kisingizio cha nauli zao ndogo.
No comments:
Post a Comment