Habari za Punde

Mkutano kwa wadau wa sheria kwa ajili ya kukusanya maoni juu ya marekebisho ya sheria za fidia na usalama kazini

 MWANASHERIA kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Mwita Haji akiwasilisha mapendekezo ya sheria ya Usalama kazini no 15 ya mwaka 1986 pamoja na marekebisho yake yaliofanywa mwaka 2005, kwa wadau wa sheria, kwenye mkutano uliofanyika skuli ya Sekondari Madungu Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WASHIRIKI wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya sheria za fidia na ile ya usalama kazini zote za mwaka 2005, wakisiliza utaratibu  wa kutoa maoni yao, juu ya mapendekezo ya sheria hizo, mbele ya Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar, kwenye mkutano huo ulifanyika skuli ya Sekondari Madungu Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa Tume ya Kurekebisha Zanzibar Jaji Mshibe Ali Bakar, akifunga mkutano kwa wadau wa sheria wa wilaya ya Chakechake, wakati tume hiyo ikikusanya maoni juu ya marekebisho ya sheria za fidia na usalama kazini za mwaka 2005, (Picha na Haji Nassor, Pemba).    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.