Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Mhe.Salama Mbarouk Khatib, akifunguwa mkutano mkuu wa Saccos ya Walimu Kisiwani Pemba , uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Madungu Pemba.
Baadhi ya Walimu wa Skuli mbali Kisiwani Pemba, wakiwa katika mkutano wa uchaguzi wa Saccos yao uliofanyika humo katika ukumbi wa Skuli ya Madungu Chake Chake Pemba.
Baadhi ya Walimu wa Skuli mbali Kisiwani Pemba, wakiwa katika mkutano wa uchaguzi wa Saccos yao uliofanyika humo katika ukumbi wa Skuli ya Madungu Chake Chake Pemba.(Picha na HANIFA SALIM -PEMBA)
No comments:
Post a Comment