Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya kushtukiza
katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya
udanganyifu vinavyofanywa na wafanyabiashara wanaogiza na kusafirisha mizigo
ndani na nje ya nchi.

wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihesabu makontena 20 yenye mchanga wa
madini ambapo ameamuru kontena hizo zisisafirishwe mahali popote.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali
kuhusu makontena 20 (yanayoonekana nyuma) yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe
kwenda nje ya nchi ambapo ameagiza Kontena hizo zisisafirishwe mahali popote.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua nyaraka
mbalimbali zenye maelezo kuhusu makontena ambayo husafirishwa nje ya nchi
katika Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia baadhi ya magari
yalivyoingizwa nchini na Wafanyabiashara wakubwa kwa njia isiyo halali ya kudai
kuwa ni makontena ya mitumba wakati ndani yake wanaficha magari yakifahari wanayoyachanganya
na bidhaa zilizochakaa.
Moja ya kontena likiwa lina
gari ndani yake aina ya Range Rover ambapo muagizaji alidai kuwa anaagiza
mitumba lakini kumbe ndani yake anakuwa ameficha magari ya kifahari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na IGP Ernest Mangu
mara baada ya kufanya ukaguzi Bandarini hapo. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment