Habari za Punde

Ukarabati wa Taa za Solar Barabara ya Michenzani Zanzibar

Mafunzi wa Manispa ya Zanzibar wakizifanyia matengenezo taa za nguvu za jua Solar kwa kubadilisha matungi ya taa hizo na kubadilisha betry na kuziweka nyengine wa kushirikiana na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi cha JKU Zanzibar kama walivyokutwa na camera yetu wakiwa katika zoezi hilo la ubadilishaji huo katika barabara ya michezani.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.