Habari za Punde

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa katika ukumbi wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama (White House) Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.
 Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC akiwepo  Mke wa Rauis Mstaafu wa Tanzania Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Ali Mohamed Mtopa wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Makao makuu ya CCM White House Mjini Dodoma leo,chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli (kulia) akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  wakati wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama (White House) Mjini Dodoma,[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa katika ukumbi wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama (White House) Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa katika ukumbi wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama (White House) Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa katika ukumbi wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama (White House) Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.
/Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama (White House) Mjini Dodoma,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na (kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana.[Picha na Ikulu.] 11/03/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.