Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aendelea na Ziara Yake Kutembelea Kiwanda Cha Kutengeneza na Kukarabati Meli cha Mauritius.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bibi Veroniqu Gorrioch kuhusu utengeneza na ukarabatiwa meli, pantoni na boti wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, pantoni na boti cha Contier Naval Del' Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, boti cha pantoni cha Contier Naval Del' Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.