Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa akikagua shamba la miwa wakati alipotembelea kiwanda cha sukari cha Alitel nchini Mauritius Machi 21, 2017.akiwa katika ziara yake ya Kikazi Nchini humo.
Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha sukari cha Alitel nchini Mauritius
Waziri Mkuu w Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha sukari cha Alitel nchini Mauritius
Waziri Mkuuwa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akikagua mfumo wa kompyuta wa kiwanda cha sukari cha Alitel nchini Mauritius
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Alitel nchini Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment