Wachezaji wa Timu ya Mundu na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mafunzo imeshinda kwa ushindi wa bao 3--0.
Wazalishaji wa Pombe Walalamikia Kuenea kwa Pombe Haramu Nchini
-
Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika zenye matumizi makubwa zaidi ya
pombe haramu, hali inayoleta hatari kubwa kwa afya ya umma, wataalamu
wameony...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment