AFISA mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma, akizungumza na wahasibu, washika fedha na internal Auditors wakati walipokutana na Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.).
MWENYEKITI wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Mhe:Yussuf Hassan
Iddi, akifungua kikao cha wahasibu, washika fedha na internal auditors huko katika
ukumbi wa uwanja wa Gombani.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA.).
No comments:
Post a Comment