Habari za Punde

Kipindi Maalum Cha ZBC Watoto na Pasaka

Mtayarisha wa vipindi vya Dini ya Kikristo ZBC Juliana Stifano akimkabidhi zawadi ya Paska mmoja wa watoto waliohudhuria kipindi hicho cha Pasaka na Watoto kilichoandaliwa na ZBC maalum kwa cajili ya kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, kipindi hicho kimefanyika katika studio ya ZBC Rahaleo Zanzibar na kuwashirikisha watoto wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kikristo Zanzibar.
Mtayarishaji wa Kipindi cha Watoto na Pasaka Zanzibar uliana Stifano akiwa katika picha ya pamoja na washiriki hao baada ya kumaliza kipindi hicho kusherehekea Sikukuu ya Pasaka inayoadhimisha wiki ijayo. Watoto hao wakifurahia zawadi zao baada ya kukabidhiwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.