Wachuuzi wa samaki kisiwani Zanzibar wakiwa katika mnada wa bidhaa hiyo katika marikiti kuu ya darajani wakati wa kunadishwa samaki katika mnada huo mtungo mmoja wa samaki uliozwa kati ya shilingi 35,000/= na kuendelea inategemea na ukubwa wake.
INEC : Taasisi na Asasi za Elimu ya Mpiga Kura Zatakiwa kuzingatia Sheria
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs
Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Tume
na a...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment