Habari za Punde

SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18


Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinakaribisha maombi kwa Mwaka wa masomo 2017/2018 katika ngazi za cheti, diploma, shahada ya kwanza na masters katika fani za afya, utalii,  kompyuta, ualimu, biashara, nk. 

Maelezo zaidi tembelea www.suza.ac.tz kisha click online admission. Mwisho kuomba 28 julai 17. 

Kwa Unguja rejesha fomu katika kampasi unayotaka kusoma. 

Kwa Pemba kampasi ya Mchangamdogo. 

 Waombaji wa Diploma Sayansi wanajulishwa kuwa program hiyo itahamia Pemba na wataanza masomo mapema kuliko unguja Agosti mwishoni.

Kampasi za SUZA ni Chwaka, Maruhubi, Tunguu, Mbweni na Beit el Raas kwa Unguja na Pemba ni Benjamin William Mkapa iliopo Mchangamdogo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.