Habari za Punde

Ujenzi wa Soko la Qatar ukiendelea Chakechake



LICHA ya kamati ya Bunge kutaka soko la Katar kumalizika kwa wakati muwafaka, pichani mafundi wakiwa katika harakati zao za ujenzi wa moja ya mahodhi ya kuhifadhia maji katika soko hilo. .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.