Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Akitia Saini Kitabu cha Maombolezi ya Kifo Cha Mbunge Dr.Elly Macha.

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mbunge  Dr Elly Marko Macha , katika Viwanja  Bunge Mjini  Dodoma  3 March 2017 Mbunge huyo  amefariki hivi karibuni  alipo kuwa katika matibabu Nchini Uingereza

Picha na PMO

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.