Wafanyakazi wa Kitalu cha Mikarafuu cha Serikali Weni -Wete Pemba, wakiwa katika upaliliaji wa miche ya Mikarafuu , ili isiweze kuvamiwa na magugu na kuweza kustawi vyema kwa ajili kupandwa na wakulima wa Zao hilo hapo baadae.
Picha na Asha Salim -Wizara ya Kilimo -Pemba.
No comments:
Post a Comment