Habari za Punde

Wahitimu wa Mafunzo ya Usalama wa Anga Zanzibar Wakabidhiwa Vyeti. Kisiwani Pemba.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mhe:Mohamed Ahmad Salum akimkabidhi cheti cha uhitimu wa mafunzo ya usalama wa anga mmo wa wanafakazi wa Uwanja wa Ndege Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja huo
Wahitimu wa Mafunzo ya Usalama wa Anga katika uwanja wa ndege wa Pemba, wakiwa na vyeti vyao walivyokabidhiwa na Naibu wa Wizara Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mhe:Mohamed Ahmad Salum
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mhe:Mohamed Ahmad Salum akizungumza na wahitimu wa fani ya Usalama wa anga katika uwanja wa Ndege Pemba, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndege Pemba
Wahitimu wa mafunzo ya usalama wa anga katika uwanja wa Ndege wa Pemba, wakimsikiliza kwa makini Naibu waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mhe: Mohamed Ahmada Salum wakati alipokuwa akizungumza na wahitimu hao baada ya kuwakabidhi vyeti vyao vya uhitimu.
Wahitimu wa fani ya usalama wa anga Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa mamlaka ya viwanja vya ndenge Pemba, naibu waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mhe:Mohamed Ahmad Salim mwenye shati nyekundu.
(Picha na Abdi SULEIMAN - PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.