WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakipata malelezo ya kikundi cha Nguvu Kazi kinachojishuhulisha na ukamuaji wa mafuta ya Makonyo Mjimbini, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi hicho Mwenye kanzu Suleiman Ussi Makame.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)
WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakipata malelezo ya kikundi cha Nguvu Kazi kinachojishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Makonyo Mjimbini, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi hicho Mwenye kanzu Suleiman Ussi Makame.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)
WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakiangalia bidhaa mbali mbali za mafuta ya makonyo yanayozalishwa na Kikundi cha Nguvu Kazi kilichoko Mjimbini, wakati wa ziara yao ya Siku nne Kisiwani Pemba.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)
No comments:
Post a Comment