Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Akiteta Spika wa Bunge Ndugai.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma  Aprili 3, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.