Habari za Punde

Mwanamke aliyejitupa baharini aokolewaMwanamke mmoja ameokolewa kutoka baharini baada ya kujitupa kutoka kwenye Boat ya Kilimanjaro V  leo wakati wakitokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar.
Mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina moja la Hudhaima Mkaazi wa Kikwajuni ambae pia ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Skuli ya Glorious.  
Kwa taarifa zilizopatikana mwanamke huyo tayari ameshafikiswa Hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili ya matibabu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.