Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Azungumza na Wakulima na Wadau wa Zao la Tumbaku Mjini Tabora.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye  ukumbi wa Isike  Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye  ukumbi wa Isike  Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora,  Hassani wa  Kasubi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na wabunge, Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Tabora  kwenye uwanja wa ndege wa Tabora baada ya kuzungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya  Msingi  na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ng’wana Kiyungi mjini Tabora  Aprili 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.