Habari za Punde

Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC

 WAJASIRIAMALI, wafanyabiashara, watendaji wa taasisi za fedha, wakisiliza mada kadhaa kwenye mkutano maalum wa kuwajengea uwelewa juu ya Jumuia ya Afrika Mashariki, uliofanyika ukumbi wa michezo Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAJASIRIAMALI, wafanyabiashara, watendaji wa taasisi za fedha, wakisiliza mada kadhaa kwenye mkutano maalum wa kuwajengea uwelewa juu ya Jumuia ya Afrika Mashariki, uliofanyika ukumbi wa michezo Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 NAIBU Waziri anaeshughulikia Utumishi wa umma na utawala bora Zanzibar, Khamis Juma Maalim, akitoa salamu za SMZ, kwenye mkutano wa siku nne wa kujengewa uwelewa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara, juu ya mtangamano wa Jumuia ya Afrika Mashariki, uliofanyika Gombani Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Augustine Mahiga, akifungua mkutano wa siku nne wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara, mkutano uliofanyika Gombani Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
PICHA ya pamoja baina ya wafanyabiashara, wajasiriamali, watendaji wa taasisi za fedha kisiwani Pemba wakiwa na waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Augustine Mahiga, mara baada ya kufungua mkutano wa siku nne, juu ya kuwajengea uwezo wajasiriamali kuhusu kuiwelewa Jumuia ya Afrika Mashariki, mkutano uliofanyika uwanja wa michezo Gombani Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.