Habari za Punde

Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba

 AFISA mdhamini Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Alawi, akiwaonyesha wanafanyakazi wa ZECO Pemba, kanuni ya utumishi wa umma ambayo wanatakiw akuifuata katika utendaji wao wa kazi, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwaka 2016/2017.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA.)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Alawi akimkabidhi zwadi mfanyakazi bora wa mwaka 2016/2017 Asha Mohamed Abdalla kutoka shirika la Umeme Pemba, hafla iliyofanyika katika jengo la taasisi hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA.)
BAADHI ya wafanyakazi bora wa shirika la Umeme Zanzibar Taiw la Pemba kwa mwaka 2016/2017, wakiwa katika Picha ya Pamoja na viongozi mbali mbali wa Serikali , katikati ni Afisa Mdhamini Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Alawi.(PICHA NA ABDI  SULEIMAN,PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.