Habari za Punde

Mvua za Masika Zinazonyesha Tayari Zimeshaleta Madhara kwa Miundombinu ya Barabara.

Mafundi wa Idara ya Utunzaji Barabara Zanzibar akiweka kifusi katika barabara ya Rahaleo baada ya kuharibika kutokana na mvua za Masika zinazonyesha katika maeneo mbali ya mji wa Zanzibar na vitongoji vyake na kusababisha kuharibika kwa miundombinu ya barabara.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.