Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential Order)
kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara
baada ya kusaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba
na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi kuhusu uamuzi wake wa kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kikao hicho.
Viongozi mbalimbali wa
Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakifatilia kwa makini
Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutia saini Amri ya Rais
(Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDADodoma ,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Katiba na Sheria akisoma Rasimu ya Amri ya Rais (Presidential Order) kabla
ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuisaini ili kuifuta, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi wakifatilia
kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji
Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza katika kikao.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CDA Eng. Paskasi Muragili mara baada ya kuifuta
mamlaka hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Mhandisi John Kijazi, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba
na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri mkuu, Kazi,
Vijana na Ajira Anthony Mavunde pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoani Dodoma Adam
Kimbisa mara baada ya kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment