Habari za Punde

Walengwa wa Kaya Masikini Kisiwani Pemba Wazungumza na Naibu Waziri wa Fedha Tanzania.

Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Maandalizi Gando , Mmaka Hamad Nassor, akitowa maeleo kwa wajumbe wa kamati ya Tasaf  makamo makuu ulipotembelea mradi wa ujenzi wa Skuli hiyo iliojena kwa ufadhili wa Tasaf 3.
Walengwa wa Kaya maskini wa Shehia ya Ndagoni Pemba,wakimsikiliza Naibu katbu mkuu fedha wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ,Habibu Kazungu alipokuwa akizungumza nao huko Ndagoni mara baada ya kutembelea mradi wa Tuta la kuzuwia maji ya Chumvi yasiingie kwenye mashamba ya mpunga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.