Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amtembelea Rais Mstaaf wa ZFA Ali Ferej leo.

Makamo wa Pili Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimjulia hali na kumfariji aliyekuwa Rais Mstaaf wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) na Makamo wa Rais wa CECAFA Ndg.Ali Ferej Tamim nyumbani kwake katika mtaa wa shangani Unguja. alipofika kumuangalia kumjulia hali yake ya kiafya .
Makamo wa Pili Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Rais mstaafu na Makamo Rais wa CECAFA Ndg Ali Ferej Tamim huko Shangani Mji Mkongwe wakati alipomtembelea kwa lengo la  kumtakia pole.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.